Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

Hiyo ni sehemu ya mind games, kwa kuwa Kaizer Chiefs na wenyewe ni watu wanaoamini uchawi uchawi pia, acha waingizwe uoga kwa ujinga wao.
 
Tuache kidogo mkuu, tuna jukumu ka kitaifa..

Ushirikina kwa afrika jambo la kawaida saana, hujaona video ya kaizer chiefs wanamwaga miunga golinj, [emoji23]
Uchawi ndio jukumu la kitaifa?
Amelaaniwa mtu Yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye kuwa ngao ya maisha yake.
 
Uchawi ndio jukumu la kitaifa?
Amelaaniwa mtu Yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye kuwa ngao ya maisha yake.
We tuache sie.. Laana unaijua wewe?
[emoji23]

Kumbe kuongeza pointi za tz kupeleka timu 4 kila mwaka caf sio jukumu la kitaifa[emoji849]
 
Ngoja niweke video ya Manara akifanya uchawi
 
View attachment 1793443

This is Simba.
Vitendo Kama hivi vinachefua, na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu.
Serikali ikemee vikali tabia hizi
Hawa ni Kaiser walivyotua Dar, wako wanamwaga dawa mchana kweupe tena uwanjani kabisa afu unakuja kusema simba, huyo kibwengo ni utopolo anataka achafue hali ya hewa.
 
Kwani hujaona video ya Kaizer wakimwaga Dawa pale Airport? Au umeona Huyo jamaa ndo umepata midadi
Mambo mengine, ni kutumia akili ya kawaida tu, kufikiria kama yanawezekana. Kweli, mwana CCM aende kuihujumu ofisi ya chama cha upinzani, mchana kweupe, na huku amevaa sare ya kijani na njano, pamoja na bendera yao?
 
Back
Top Bottom