Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

Hiyo ni sehemu ya mind games, kwa kuwa Kaizer Chiefs na wenyewe ni watu wanaoamini uchawi uchawi pia, acha waingizwe uoga kwa ujinga wao.
Huo ni uchawi kabisa wala sio mind games wachawi wakubwa nyiee na uchawi upo ila mikia fc wamezidi sasa .ila ndo hivyo kiendacho kwa mganga hakirudi
 
Back
Top Bottom