Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Tuache kidogo mkuu, tuna jukumu ka kitaifa..
Ushirikina kwa afrika jambo la kawaida saana, hujaona video ya kaizer chiefs wanamwaga miunga golinj, [emoji23]
Angalia post No 12Weka video
Enheeee...TENA MUNGU MWENYEWE NDO AMELAANIWA HASWAAA..tena AMELAANIWA KWELI KWELI kwa SABABU YEYE NDO ANAEONGOZA KUMTEGEMEA MWANADAMU.Uchawi ndio jukumu la kitaifa?
Amelaaniwa mtu Yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye kuwa ngao ya maisha yake.
Haji kwenye ubora wake, kumbe sio kwenye kuongea tu hata kwenye hayo mambo yuko vizuri!View attachment 1793443
This is Simba.
Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu.
Serikali ikemee vikali tabia hizi
Katubu haraka dhambi zakoEnheeee...TENA MUNGU MWENYEWE NDO AMELAANIWA HASWAAA..tena AMELAANIWA KWELI KWELI kwa SABABU YEYE NDO ANAEONGOZA KUMTEGEMEA MWANADAMU.
1 Anamtegemea mwanadam amwabudu, asipomwabudu anaona wivu na anamind
2 Anamtegemea mwanadamu ndo amfanyie kazi. Alimtegemea Musa kule misri. Alimtegemea Daud kumuua Goliati. Akamtegemea Mariam kupitisha kiumbe chake (Yesu). Mifano mi mingi sana
Mungu nae fara kama fara wengine tu. Asiwe anatuchimba mikwaea shenzi zake
Acha ufaraKatubu haraka dhambi zako
Leo wataitapika hiriziJina lenyewe Simba, yaani mmemeza hirizi
Katika jina la utopoloLeo wataitapika hirizi
Kigagula mahiriHaji kwenye ubora wake, kumbe sio kwenye kuongea tu hata kwenye hayo mambo yuko vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga walikuwa wanakagua site kuangalia maendeleo ya ujenziKule Majaliwa Stadium Yanga waliingilia mlango wa mashabiki. Nadhani Serikali waanze na hili au hili haliharibu taswira ya soka!!?
View attachment 1793443
This is Simba.
Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu.
Serikali ikemee vikali tabia hizi
Yule wa wayahudi wa Ashkenazi ,si ndiyo? Au nasema uongo ndugu zangu!Enheeee...TENA MUNGU MWENYEWE NDO AMELAANIWA HASWAAA..tena AMELAANIWA KWELI KWELI kwa SABABU YEYE NDO ANAEONGOZA KUMTEGEMEA MWANADAMU.
1 Anamtegemea mwanadam amwabudu, asipomwabudu anaona wivu na anamind
2 Anamtegemea mwanadamu ndo amfanyie kazi. Alimtegemea Musa kule misri. Alimtegemea Daud kumuua Goliati. Akamtegemea Mariam kupitisha kiumbe chake (Yesu). Mifano mi mingi sana
Mungu nae fara kama fara wengine tu. Asiwe anatuchimba mikwaea shenzi zake
Tuache kidogo mkuu, tuna jukumu ka kitaifa..
Ushirikina kwa afrika jambo la kawaida saana, hujaona video ya kaizer chiefs wanamwaga miunga golinj, [emoji23]
Hii ni Airport yawapi mkuu?Hawa ni Kaiser walivyotua Dar, wako wanamwaga dawa mchana kweupe tena uwanjani kabisa afu unakuja kusema simba, huyo kibwengo ni utopolo anataka achafue hali ya hewa.
Kama CCMSimba ni mfa maji! Hawezi kuacha kutapatapa.