Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 May 22, 2021 #41 Huyo aliloga inawezekana katumwa na yanga
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 May 22, 2021 #42 MO11 said: Huyo ni kichaa wa yanga Click to expand... Kweli atakuwa wa yanga lakini sio Yanga
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 22, 2021 #43 Usher-smith MD said: Huyo aliloga inawezekana katumwa na yanga Click to expand... 😬😬 Ili mtunguliwe 4G nyingine na hivyo kuhitimisha hatua yenu ya robo fainali kwa kichapo cha mbwa koko ugenini na nyumbani, au!!
Usher-smith MD said: Huyo aliloga inawezekana katumwa na yanga Click to expand... 😬😬 Ili mtunguliwe 4G nyingine na hivyo kuhitimisha hatua yenu ya robo fainali kwa kichapo cha mbwa koko ugenini na nyumbani, au!!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 May 22, 2021 Thread starter #44 ibramy said: Tulia mzee bujibuji Click to expand... Jambo lenu vipi?
S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,233 May 22, 2021 #45 mtanzania1989 said: Hiyo ni sehemu ya mind games, kwa kuwa Kaizer Chiefs na wenyewe ni watu wanaoamini uchawi uchawi pia, acha waingizwe uoga kwa ujinga wao. Click to expand... Huo ni uchawi kabisa wala sio mind games wachawi wakubwa nyiee na uchawi upo ila mikia fc wamezidi sasa .ila ndo hivyo kiendacho kwa mganga hakirudi
mtanzania1989 said: Hiyo ni sehemu ya mind games, kwa kuwa Kaizer Chiefs na wenyewe ni watu wanaoamini uchawi uchawi pia, acha waingizwe uoga kwa ujinga wao. Click to expand... Huo ni uchawi kabisa wala sio mind games wachawi wakubwa nyiee na uchawi upo ila mikia fc wamezidi sasa .ila ndo hivyo kiendacho kwa mganga hakirudi
M MSTARI WA NYUMA Senior Member Joined Feb 28, 2021 Posts 100 Reaction score 138 May 22, 2021 #46 Kwani wewe uliwaona Simba wanaloga?anautambulisho wa Simba?