Iyo siyo habari mkuu, ni sawa na kumuweka paka na panya alafu unasubili nani ataonewaKwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs dar city wachezaji wa simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya kagera.
Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha mkuu Pablo alikiwepo. Kwa sababu leo siku ya mechi na dar city ambapo hakuwepo kocha mkuu wachezaj walikuwa Wamechangamka sana.
NAWATAFUNA tunaomba mtujuze alipo PabloKwani kocha pablo yupo wapi kwa sasa?
Amefungiwa na tff kwa kosa la kupiga kasha la maji na djuma Shaban naye kafungiwa wote mechi 3NAWATAFUNA tunaomba mtujuze alipo Pablo
Mbao inacheza daraja moja (la pili) na dar city... mbona ilipocheza na yanga mlitumbuiza sana..Dar city timu ndogo kiukweli ...
Matola kivuli tu kile hamna kitu.Minamashaka makubwa kwa kocha Pablo.
Tusubiri Matola atafanya nini kwenye mechi zake tatu zinazofuata tuone, kama timu itafanya vema basi tatizo litakua kwa kocha Pablo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndicho ninachohisi. Mpira uliochezwa na kagera unaacha maswali mengiMinamashaka makubwa kwa kocha Pablo.
Tusubiri Matola atafanya nini kwenye mechi zake tatu zinazofuata tuone, kama timu itafanya vema basi tatizo litakua kwa kocha Pablo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchokoz bossWamekutana na size yao