SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

Kila mnyonge .....ana mnyonge wake
Hakika mkuu
IMG-20220131-WA0001.jpg
 
Pia misumari mingi, naona kuna timu imepania kutwaa ubingwa kwa mbinu zote za ndani ya uwanja na nje ya uwanja, yaani kuwapunguza nguvu wenzao kwa mbinu zote, naona mbinu ya kuwachezea rafu sijui wameona wamestukiwa sasa wameona waje na mbinu mbadala, ila kila kitu kina mwisho, namuonea huruma Thadeo lwanga maana amekuwa victim wa mbinu nje ya uwanja, inaonyesha fraga naye pia ni mhanga wa mbinu hizo.
 
Mkuu hizo mbinu za nje ya uwanja ni kama zipi?
 
Wanasema kuonyesha mechi ya dar city na simba ni matumizi mabaya ya umeme [emoji3][emoji3][emoji3]
 
😁😁😁 Simba msimu huu itaambulia lile Kombe la Bonanza la Mapinduzi pekee, kama ilivyokuwa kwa Yanga msimu uliopita. Sidhani kama watavuka robo fainali kwenye hilo Kombe.

Kuanzia Ngao ya Jamii = Yanga, NBC Premier League = Yanga, na Kombe la Shirikisho la Azam = Yanga.
 
Back
Top Bottom