mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
We vipi, majonzi ya nyumbani kwenu au? Tafadhali usitutoe kwenye nada!Hivi hamja jiongeza tu? tupo kwenye majonzi
NdioKwanini mashabiki wamekatwazwa kuingia uwanjani?
Nimeuliza mkuu, kwanini washabiki wamezuiwa?Ndio
[emoji23][emoji23][emoji23]Bange
Hivi we Nani kakurogaa ukiambiwa kuna Corona htaki kuelewaTanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo.
Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless michro phone mpaka kwenye spika kubwa zitakazowekwa Uwanja wa Taifa ili kutoa feedback kwa wachezaji kuwa mchezaji wa 12 yuko kazini.
Haji Manara tafadhali fanyia kazi wazo hili. Wapenzi wa mnyama Simba mnasemaje?
Atakuwa upotolo huyo wana majonzi ya kupoteza pointi kwa coastal na PolisiWe vipi, majonzi ya nyumbani kwenu au? Tafadhali usitutoe kwenye nada!
Kama una majonzi ni wewe,, sisi tunataka mnyama amle msudani.Hivi hamja jiongeza tu? tupo kwenye majonzi
Kupata fair play haiwezekan wengine kwao wasiwe na mashabiki wengine kwao wawe nao....Fairness lazima iwepoNimeuliza mkuu, kwanini washabiki wamezuiwa?
Kama wao kwao kuna Corona na sie hatuna Corona tutalinganaje sasa,wao wabaki kama wao na sisi tubaki kama sisiKupata fair play haiwezekan wengine kwao wasiwe na mashabiki wengine kwao wawe nao....Fairness lazima iwepo
Ndio
Sababu ninnini?Kwanini mashabiki wamekatwazwa kuingia uwanjani?