Simba vs El Merreikh: Uwanja wa uhuru utumike na screen kubwa

Simba vs El Merreikh: Uwanja wa uhuru utumike na screen kubwa

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Tanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo.

Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless michro phone mpaka kwenye spika kubwa zitakazowekwa Uwanja wa Taifa ili kutoa feedback kwa wachezaji kuwa mchezaji wa 12 yuko kazini.

Haji Manara tafadhali fanyia kazi wazo hili. Wapenzi wa mnyama Simba mnasemaje?
 
Hili wazo ni zuri sana yaani inakuwa kama Wako live tu,

Tatizo ni kupishana kwa matukio sasa! Maana sauti zitatoka huku Mchezaji tayari kashanyang'anywa mpira kutokana na utofauti wa Muda baina ya Live ya Uwanjani na ya Luningani
 
Tanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo.

Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless michro phone mpaka kwenye spika kubwa zitakazowekwa Uwanja wa Taifa ili kutoa feedback kwa wachezaji kuwa mchezaji wa 12 yuko kazini.

Haji Manara tafadhali fanyia kazi wazo hili. Wapenzi wa mnyama Simba mnasemaje?
Hivi we Nani kakurogaa ukiambiwa kuna Corona htaki kuelewa

Kwahiyo mnataka mjazaje Kama mango'mbee? Kwenye dewa

Sasa hakuna kuweka Tv kubwa wala Tv ya Chogo

OVER
 
Kupata fair play haiwezekan wengine kwao wasiwe na mashabiki wengine kwao wawe nao....Fairness lazima iwepo
Kama wao kwao kuna Corona na sie hatuna Corona tutalinganaje sasa,wao wabaki kama wao na sisi tubaki kama sisi
 
Back
Top Bottom