Simba walisha cheza final kwenye vibuyu vya mizimuSubiri kwanza fainali iishe mkuu
Wamepigwa 2 bila mkuuvip matokeo ya singida
Mpira wa bongo unachezwa kabla. Watu wakienda kwenye mechi wanamatokea tayariSubiri kwanza fainali iishe mkuu
[emoji27] [emoji27] [emoji27]Wamepigwa 2 bila mkuu
Naona unaochawia team yetu pendwa [emoji23]Wamepigwa 2 bila mkuu
Kwa ajili ya finally ya NakuruTutaweka tv kubwa pale jangwani
Mkuu simba kama madrid. Wakiona kombe uwanjani hakuna wa kimzuiaSubiri kwanza fainali iishe mkuu