Simba vs Everton itaonyeshwa channel gani hapa bongo

Simba vs Everton itaonyeshwa channel gani hapa bongo

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Mimi sio mshabiki wa simba ila naona mechi ya simba na everton itakuwa nzuri sana. Sioni kama gor mahia anaweza kuwafunga hawa machampioni wa TZ. napendekeza kikosi hiki dhidi ya everton. Kama una cha kuongezea ongezea pls

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mohammed Rashid
10.Rashid Juma
11. Mzamiru Yassin

Bench
Kwasi
Boko
Okwi
Mpilipili
Juko
 
Umesema sio shabiki wa Simba lakini umecharaza line up kama Haji Manara
 
Back
Top Bottom