Simba VS Lipuli...Kiporo kigumu sana

Kweli simba ina wakilisha vyema Tanzania kwa matokeo ya goli 10 Kwa mechi 2. Na kuna goli 6 zipo Algeria, yajayo yanafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba omba FC lile kapu lao wanalopitishaga uwanjani na yale matangazo Azam TV watakua sasa na utajiri mara 10 zaid ya Simba
Zaera kasema tangu yanga ianze kutembeza bakuli imefikisha kiasi cha shilingi milion 20. Wakati zahera pekeyake sio mwenye timu lakini kachangia milion 2. Analalamika timu haina umoja anajaribu kuisaidia lakini wao hawasaidiki. Wanabaki kupiga domo kwenye media kua yanga ni timu ya wananchi halafu uananchi wao hauendani na kinachopatikana kwenye bakuli

Sent using unknown device
 
Reactions: Tui
Kweli simba ina wakilisha vyema Tanzania kwa matokeo ya goli 10 Kwa mechi 2. Na kuna goli 6 zipo Algeria, yajayo yanafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumefungwa goli kumi hao waliotufunga mbona wengine wanaburuza mkia....sikiliza we shabiki wa makwasukwasu fc..sisi hata tufungwe 20 nyie hayawahusu...nyie juzi tu hapa si mmetoka kuchezea kimoja cha mkwezi bado mnahamu tuongeze dozi???
 
Reactions: Tui
Naona wana yanga wanataka kumzamini masai leo. Kuweni makini na kesi hii Angalieni masai anaweza kuwaachia shuka mkadhani yupo kupo alishasepa kitambo.

Sent using unknown device
 
Reactions: Tui
Huyo aende tu Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…