njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #21
Team leo imepangwa double strikers,HAPO LEO KISHINGO NIKO NAYE SAMBAMBA KABISA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani huyo jamaa ilitakiwa hata leo acheze kabisa ni muhimu awepo tarehe 6Viongozi wa Simba ni wazito sana,Inamaana ITC ya Taddeo Lwanga haijafika tu mpaka sasa.
Inawezakana wamemsajili kwa ajili ya kufanya mazoezi tu.
Simba ndio timu iliyoruhusu mabao machache kuliko timu zote katika ligi msimu huu. Pia katika michezo mitatu ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika, imeruhusu bao moja katika michezo mitatu. Mimi mtu anaponiambia kwamba Simba ina weak defence line huwa nahitaji anishawishi zaidi kwamba analinganisha na timu gani...Tatizo kubwa la Simba sio Hilo Bali wapo very slowly kwenye build up pia wana weakness kwenye defense line
tulia wewe Utropolo unyonyolewe manyonyaYaan simba hadi kwa majimaji wanajiangusha
[emoji23][emoji23][emoji23],maji majitulia wewe Utropolo unyonyolewe manyonya
Ni michuano hii hii tuliwapiga 4-1 na tena hapo mlijiangusha kupoteza muda[emoji23][emoji23][emoji23],maji maji
Kahata kiwango kimepunguaHivi huyu Mbwa Kishingo ni Kigezo gani anachotumia kumchezesha Dilunga na kumuweka Benchi Kahata?
Soka inavitu vingi sana mkuu,Kahata ni nzuri zaidi kwenye creativity na possession ila hana pace so inategemea na approach ya game yenyewe,Hivi huyu Mbwa Kishingo ni Kigezo gani anachotumia kumchezesha Dilunga na kumuweka Benchi Kahata?
mana yake mkuukubabake Kope Mushimba
Mbona kahata yumoHivi huyu Mbwa Kishingo ni Kigezo gani anachotumia kumchezesha Dilunga na kumuweka Benchi Kahata?
Hivi huyu Mbwa Kishingo ni Kigezo gani anachotumia kumchezesha Dilunga na kumuweka Benchi Kahata?
Hata mimi nilikuwa naendelea kushangaa, nikajipa muda kwamba labda baadaye nitamuelewa. Hawa washabiki ndio waliokariri kutoa lawama kwa hali yoyote itakavyokuwa, wanakuwa wamejiandaaMbona kahata yumo
Kweli kabisa mkuu, manake daahHata mimi nilikuwa naendelea kushangaa, nikajipa muda kwamba labda baadaye nitamuelewa. Hawa washabiki ndio waliokariri kutoa lawama kwa hali yoyote itakavyokuwa, wanakuwa wamejiandaa
SSC 2Tunaomba matokeo jamn
Ulikuwa hujui, post za humu ndo zimekushtua. Ulikuwa umeandaa malalamiko mapema tu, ukakurupuka kuyapost bila kuangalia mechi. UmeumbukaBado unaendelea kuto kunielewa! Unadhani sijui kama Kahata yumo?