Simba Vs Majimaji

Simba Vs Majimaji

Wewe ni Shabiki wa Simba?,Halafu hujui kuwa Mugalu alisajiliwa na kila ndani ya dk 15 alikuwa anafunga???Halafu hujui kuwa Mugalu akapata majeraha??Halafu hujui ndio ana struggle Kurudi kikosini?Kisha unajinadi wewe ni Simba na unamjua sana Mugalu??
Umemuona Mugalu wako leo ?
Kacheza dakika 65.
Kagusa mpira mara tano tu.
Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani.

Hiyo ndo Mugalu.
Simba 4 Platinum 0
 
Mugalu hawafai simba kwa michuano mikubwa
Labda na kina Ihefu..
Wambakize chikwende dar itawasaidia kimataifa,
Kahata aende tu
Umemuona Mugalu wako leo ?
Kacheza dakika 65.
Kagusa mpira mara tano tu.
Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani.

Hiyo ndo Mugalu.
Simba 4 Platinum 0
 
Back
Top Bottom