Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Umemuona Mugalu wako leo ?Wewe ni Shabiki wa Simba?,Halafu hujui kuwa Mugalu alisajiliwa na kila ndani ya dk 15 alikuwa anafunga???Halafu hujui kuwa Mugalu akapata majeraha??Halafu hujui ndio ana struggle Kurudi kikosini?Kisha unajinadi wewe ni Simba na unamjua sana Mugalu??
Kacheza dakika 65.
Kagusa mpira mara tano tu.
Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani.
Hiyo ndo Mugalu.
Simba 4 Platinum 0