Simba Vs Majimaji

Viongozi wa Simba ni wazito sana,Inamaana ITC ya Taddeo Lwanga haijafika tu mpaka sasa.

Inawezakana wamemsajili kwa ajili ya kufanya mazoezi tu.
 
...Tatizo kubwa la Simba sio Hilo Bali wapo very slowly kwenye build up pia wana weakness kwenye defense line
Simba ndio timu iliyoruhusu mabao machache kuliko timu zote katika ligi msimu huu. Pia katika michezo mitatu ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika, imeruhusu bao moja katika michezo mitatu. Mimi mtu anaponiambia kwamba Simba ina weak defence line huwa nahitaji anishawishi zaidi kwamba analinganisha na timu gani
 
Hivi huyu Mbwa Kishingo ni Kigezo gani anachotumia kumchezesha Dilunga na kumuweka Benchi Kahata?
Soka inavitu vingi sana mkuu,Kahata ni nzuri zaidi kwenye creativity na possession ila hana pace so inategemea na approach ya game yenyewe,

Dilunga anaweza akafanya vitu vyote hivyo na akaongeza kingine aka create,na kuattack,plus kufunga hivyo kama ni mechi ambazo unataka zaidi matokeo ya haraka sana inakua nikheri uanze na Dilunga.

Kwakua tayari unawatu kama kina Chama na Luis ambao wanaweza kufanya kazi za kahata.inakua ni kheri uanze na Dilunga.

Binafsi nampenda sana Kahata.
 
Hata mimi nilikuwa naendelea kushangaa, nikajipa muda kwamba labda baadaye nitamuelewa. Hawa washabiki ndio waliokariri kutoa lawama kwa hali yoyote itakavyokuwa, wanakuwa wamejiandaa
Kweli kabisa mkuu, manake daah
 
Bado unaendelea kuto kunielewa! Unadhani sijui kama Kahata yumo?
Ulikuwa hujui, post za humu ndo zimekushtua. Ulikuwa umeandaa malalamiko mapema tu, ukakurupuka kuyapost bila kuangalia mechi. Umeumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…