Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Tupo pamoja,simba 1 mbeya city 1,azam1,polisi 1,yanga 1,prison 1 ,mtibwa 1,nk..nk
 
Ngoja nisogee kibanda umiza

Naisubiri kwa hamu sana hii mechi, huenda nikawa mwenye furaha sana jioni ya leo, lakini mambo yakibadilika naweza kujikuta mwenye huzuni kana kwamba timu yangu imefungwa.

Mbeya City Council FC tandika Simba koko risasi moja tu kwenye mguu wa mbele kushoto ulipo moyo.
 
Ndimu imeanza, Serenkuma (Mrisho Mpoto) anakosa goli la wazi kabisa hapa...
 
Hawa mbeya city sijui wanachezaje!!! yaani utafikir wanacheza daraja la kwanza. itashuka daraja tu mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…