PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
.......ngoja iwape kalaaaaaaaa sasa.Tupeni raha Mbeya Cityyyyyyyyyyyyyyy ndaga fijo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......ngoja iwape kalaaaaaaaa sasa.Tupeni raha Mbeya Cityyyyyyyyyyyyyyy ndaga fijo
na kocha wao ni yule yule ana aligoma kuendelea kuifundisha timu!!Hakika hii si timu ya kuchezea ligi ya vodacom, inacheza hovyo kabisa. Simba wakicheza vizuri wanaweza kupata ushindi mnono tangu ligi ianze.
na kocha wao ni yule yule ana aligoma kuendelea kuifundisha timu!!
Jamani hali vipi huu ,....ripota kiungo mkabaji Makoye Matale
Huyu kipa hata game ya azam aliicost sana timu yake na leo tena karuhusu goli ya kizembe zembe. Huyu hastahili kuchezea mbeya city.
kwani Referee haoni?????Mkude kapiga mtu kipepsi, mikia mnasemaje?
Dakika 42: Simba 1-0 MCC.
Am sad goli moja sio salama kwa timu yangu
Kumbe mnajua!
Huo ndio ukweli...sio kwa simba tu bali kwa timu yoyote kwamba goli moja sio salama kulinda ushindi
Huo ndio ukweli...sio kwa simba tu bali kwa timu yoyote kwamba goli moja sio salama kulinda ushindi
HT: Simba 1-0 MCC.
Kwa matokeo hayo, hawawezi kupanda ndege tena. Itakuwa imeota mbawa na kuruka zake bila wao kuwepo, si unafahamu soka la Bongo!
Mkuu mbona hua unalalamika sana simba akimchapa mtu?
Una roho ya Gubu nini>?
Uwe sportsman kama bwana makoye matale bana
Bwana Makoye Matale na dada yako Bantu lady mnakumbuka hili tukio?