Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

HUU NI UHUNI ambao kiukweli usivumiliwe. ikiwa kama picha inavyoonesha mchezaji alikuwa anamaanisha kitendo tunachodhania.
lakin juma nyoso si alikuwa mchezaji wa simba kwa kipindi kirefu pengine yawezekana alihama nako hako ka mchezo maana inasemekana simba ndo michezo yao hiyo nadhani alikuwa anakumbushia tu ndo maana mchezaji wa simba alichukulia poa tu wala hakuonesha kulalamika
 
Back
Top Bottom