Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Simba simba simba!!!! Jamani mnatatizo gani labda tuwasaidie.
Hatutopenda kuona mnashuka daraja hivi hivi.
 
Haya ni mapito tu, ila mda si mrefu tunarudi kwenye nafasi yetu.
Mtani mmejitahidi kweli kushiriki mashindano haya ya Africa kipindi sisi tupo benchi.
Katka miaka yote hiyo ni hatua gani kubwa mliyofikia? Na mmefaidika nini, ambacho sisi tumekosa?

Wewe Aveva, inamaana hautambui hata faida ya kushiriki katika michuano kama ile?
 
Wewe Aveva, inamaana hautambui hata faida ya kushiriki katika michuano kama ile?

Kama ukiwa unashiriki ukijitahidi sana unaishia raund ya 2, unapata faida gani? Nitashukuru ukinitoa tongotongo.
 
Kama ukiwa unashiriki ukijitahidi sana unaishia raund ya 2, unapata faida gani? Nitashukuru ukinitoa tongotongo.

Kila hatua utakayo fikia katika michuano hiyo, kuna kiasi cha fedha ambacho club inapata.
Je ni bora kushiriki upate kitu au usishiriki ukose kitu.?
 
Kila hatua utakayo fikia katika michuano hiyo, kuna kiasi cha fedha ambacho club inapata.
Je ni bora kushiriki upate kitu au usishiriki ukose kitu.?

Mkuu DemiGod nachofahamu ni kuwa hela huanza kutolewa pale timu zinapoingia hatua ya makundi.

Kutokana na hatua hizi za awali timu kutokupata mpunga wowote, timu nyingi zisizo na vyanzo vya uhakika hujitoa. Mfano ni timu toka zanzibar, ambazo kujitoa kwao ni kawaida. Pia kuna tetesi wapinzani wenu wanajeshi toka Botswana wanaukata mkubwa, hivyo wanaweza wasitokee taifa mwezi ujao. Kama katika hatua za awali CAF wangekua wanatoa mkwanja, timu zisingekua zinajitoa.
 
Last edited by a moderator:
Msimu uliopita Arsenal walichukua FA Cup, tofauti na Chelsea au Barcelona ambao waliotoka mikono mitupu.

Msimu uliopita Simba Sc tulishinda Ngao ya mtani jembe, Yanga mlitoka kapa.. [nipo tayari kusahihishwa]

Mpaka sasa Simba ana makombe mawili [mtani jembe na mapinduzi cup] lakini Yanga hana kitu na ligi hata mzunguko wa kwanza haujaisha.

Nawasilisha.

Umemsahau Jaja eeh! Kawaulize Azam watakueleza tulipata nini siku ile.
 
Eliasi Maguli ailfanywa nini na mchezaji Mbeya City.?
Soma gazeti la leo la michezo.
Mechi inayokuja atafanyiwa kocha Golan.
 
HUU NI UHUNI ambao kiukweli usivumiliwe. ikiwa kama picha inavyoonesha mchezaji alikuwa anamaanisha kitendo tunachodhania.
 
Back
Top Bottom