Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIRI YA MAHAKAMA YA KADHI YAFICHUKA
Utangulizi
Kwa muda mrefu sasa, wenzetu katika imani wamekuwa wakiishinikiza Serikali iweke katika Katiba ya Tanzania kipengele chenye kuitambua rasmi Kadhi Courts (Mahakama ya Kadhi). Hata hivyo LENGO la uwepo wa Mahakama hizi za Kadhi kwenye Katiba siyo kutambulika kisheria kama wanavyodai, bali ni ili Umma wa Watanzania (wenye dini na wasio nazo) ubebe gharama ya kuziendesha (Operation costs). Baada ya utangulizi huu, tunaomba kurudi kwenye mada kuu Siri ya Mahakama Ya Kadhi Yafichukaili ijulikane kuwa Mungu pekee ndiye mwenye siri, na si wanadamu.
Siri ya Mahakama ya Kadhi
1. Kwamba, baada ya kelele za muda mrefu za Waislamu kudai kuwa Serikali inawaonea, na haiwapi fursa za elimu kwa usawa, Serikali ya Awamu ya tatu (Benjamin Mkapa), aliwapatia bure majengo ya kilichokuwa Chuo cha Tanesco Morogoro, ambapo Waislamu walikifanya kuwa Chuo
Kikuu cha Kiislamu Tanzania.
2. Kwamba kwa sasa wahitimu wengi wa Chuo Kikuu hiki wapo mitaani bila ajira (hasa waliosomea Elimu Ahera), na mlango pekee wa kuwapatia ajira serikalini ni kwa kuanzisha MAHAKAMA ZA KADHI, na ambapo kila Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa maelfu ya hawa wenzetu katika imani wataajiriwa.
3. Kwamba utafika wakati ambapo wenzetu katika imani wataamua, ama kupeleka mashauri yao ya ndoa/mirathi kwenye Mahakama za Serikali (ambazo wataziita ni Mahakama za Makafri) au kwenye Mahakama za Kadhi.
4. Kwamba popote pale penye Mahakama ya Mwanzo (kwenye Kata, Tarafa au Mahakama za Wilaya na Mikoa Tanzania), LAZIMA Kadhi awepo pia. Hii inamaanisha kuwa, hata kama Kijiji/Kata au Tarafa haina muislamu hata mmoja (na jambo hali hii lipo maeneo mengi Tanzania Bara), lakini almradi ipo Mahakama ya Serikali mahali hapo lazima Kadhi ataajiriwa kukaa mahali hapo kwa gharama ya serikali, kwa nchi ya TANZANIA ISIYO NA DINI.
5. Kwamba Gharama za Kadhi kwenye haya maeneo (mishahara na marupurupu mengineyo) ni za Serikali ya Tanzania. Maana yake, Serikali itakusanya Kodi za Waislamu, Wakristo na Wasio na dini ili kulipa mishahara ya Makadhi wa Dini moja tu (Islam) kwa sababu inatambuliwa na Katiba ya Tanzania.
HITIMISHO.
1. Kwa sasa Hayupo Mtanzania mwenye imani na wanaoitwa MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, kwa kuzingatia historia yao, na jinsi wanavyopotosha umma kwa minajili ya kuwafurahisha wakubwa zao waliowateua. Kawaida ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuuwasha moto, lakini ukeshakolea hukaa pembeni kwa kisingizio kuwa Ushauri wangu haukueleweka vizuri. Ndiyo maana Tunamtahadharisha Ndugu George Masajo (Mwanasheria wa Serikali wa sasa) asiwashe moto wa kuliteketeza taifa la Tanzania na ambao siyo rahisi kuja kuzimika hata baada ya kizazi cha nne kijacho pale machafuko ya UDINI kila kona yakeshaanza Tanzania.
2. Rais Mh. Dr. Jakaya Kikwete, kilinde kiapo chako kwa Katiba kwa sababu yatosha sasa kuona unaendelea kuisigina Katiba iliyoweka Tanzania isiyo na dini kuwa taifa la mfano kwa umoja, uhuru, amani na utulivu hapa Afrika. Yatosha kuona mauaji ya maaskofu, mapdri, wachungaji na mashekhe kumwagiwa tindikali.
3. Tunawashauri Wabunge, waachane kabisa na mtego wa CCM wa kujipatia kura kwa gharama ya damu za Watanzania. Ni mtego kwa Wabunge wanaotaka kudumisha madaraka yao kwa kura za Waislamu mwaka huu 2015, hao ndio watajipendekeza kuunga mkono mswada huu wa hatari.
Tanzania ni zaidi ya madaraka / au cheo cha Rais/Mbunge au Mwanasheria Mkuu. Tanzania si jalala la kufanyia majaribiio ya mfumo ambao utatugawa mapande mawili. Wapo watu wanashabikia jambo hili kwa kuwa watafaidika kwa hizi ajira za mfumo wa Mahakama ya Kadhi. Wapo wanaotolea mifano ya Uganda au Kenya lakini wanasahau hizi ni nchi zinakuja kujifunza kwetu namna ya kujenga umoja wa kitaifa. Waziri Mkuu (Mh. Mizengo Pinda) hata kwa ziara yake Uarabuni, hajaweza kubainisha kama ipo nchi aliyotembelea mwaka jana 2014 yenye mfano wa amani, mshikamano, usawa wa kijinsia kama Tanzania pamoja na kuwepo kwa Mahakama za Kadhi lukuki huko Uarabuni.
Tujikumbushe: Ombi la Kwanza la kupatiwa Chuo Kikuu cha Kiislamu lilifanikiwa (Awamu ya 3), Ombi la Pili la Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba (Awamu ya 4), na hatujui Ombi la Tatu la Sharia za Kiislamu kwenye Katiba litamuangukia rais wa Awamu ipi. Uzoefu ni kuwa Ombi moja la Waislamu huzaa ombi linalofuata kwa mtiririko wake. Mwisho, Tunaungana na nia njema ya Jukwaa la Wakristo na Wadau wengine, wanaopendekeza Mahakama za Kadhi endapo zikianzishwa kikatiba zijiendeshe 100% kwa gharama ya Waislamu wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania iendelee kuwa nchi isiyoegemea Dini au Sera za Udini.
Hela za Okwi wameshalipwa?
ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.
Mbeya City vs Yanga ....................................
Hawa Yanga watachapwa sana hawajielewi tu
Yaani hawajui kuwa kufungwa kwa simba hakuifanyi yanga kuwa timu nzuri
cc Makoye Matale
yaani kila nikilala kifudifudi naona jinsi penati inavyogonga mwamba, halafu namuona Manyika akimlaza mtu, ni kama vile nikisimama napata ahueni (sioni mauzauza)
Lazima iwe la kuku kaka
Adui mwombee njaa
Acha umbea....
Wakilipwa wasipolipwa wewe zinakuwasha nini?
Mwanaume ukiwa mbea kama wewe watakuvisha shanga na khanga alafu.....
Mtasubiri sana.
Mkuu matatizo ya yanga na simba hayana tofauti sana
Tusubiri tu mkuu
Ila kama tunataka kuendelea kisoka mfumo wa uendeshaji wa hizi timu inabidi ubadilike
Tofauti ni kubwa sana. Simba mnasuka upya timu yenu kama vile Arsenal, sisi tunasonga mbele kama Chelsea au Barcelona. Yanga ina pointi 18 na michezo mitatu mkononi kabla ya nusu msimu huu, Simba ina pointi 13 na michezo miwili mkononi. Mkuu huoni tofauti hizi au unazipuuzia tu?
Tofauti ni kubwa sana. Simba mnasuka upya timu yenu kama vile Arsenal, sisi tunasonga mbele kama Chelsea au Barcelona. Yanga ina pointi 18 na michezo mitatu mkononi kabla ya nusu msimu huu, Simba ina pointi 13 na michezo miwili mkononi. Mkuu huoni tofauti hizi au unazipuuzia tu?
Msimu uliopita Arsenal walichukua FA Cup, tofauti na Chelsea au Barcelona ambao waliotoka mikono mitupu.
Msimu uliopita Simba Sc tulishinda Ngao ya mtani jembe, Yanga mlitoka kapa.. [nipo tayari kusahihishwa]
Mpaka sasa Simba ana makombe mawili [mtani jembe na mapinduzi cup] lakini Yanga hana kitu na ligi hata mzunguko wa kwanza haujaisha.
Nawasilisha.
Hivi huu utakuwa msimu wa ngapi bila kushiriki mashindano ya kimataifa watani!!!!Msimu uliopita Arsenal walichukua FA Cup, tofauti na Chelsea au Barcelona ambao waliotoka mikono mitupu.
Msimu uliopita Simba Sc tulishinda Ngao ya mtani jembe, Yanga mlitoka kapa.. [nipo tayari kusahihishwa]
Mpaka sasa Simba ana makombe mawili [mtani jembe na mapinduzi cup] lakini Yanga hana kitu na ligi hata mzunguko wa kwanza haujaisha.
Nawasilisha.
Uwiiii mmenichekesha sana heee kumbe kuna watu walilala, huku wamesimama? makubwa haya pole sana.
Where is MEANDU?
Najua hujaumia sana, ulipozwa na the blues.
Akili za wanambumbumbu ni za ajabu kweli. Yanga wamemaliza kwenye nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa halafu unaringishia mtani jembe? Rage alikuwa sahihi mno
Hivi huu utakuwa msimu wa ngapi bila kushiriki mashindano ya kimataifa watani!!!!
Au mnaiogopa libolo fc??