lakin juma nyoso si alikuwa mchezaji wa simba kwa kipindi kirefu pengine yawezekana alihama nako hako ka mchezo maana inasemekana simba ndo michezo yao hiyo nadhani alikuwa anakumbushia tu ndo maana mchezaji wa simba alichukulia poa tu wala hakuonesha kulalamikaHUU NI UHUNI ambao kiukweli usivumiliwe. ikiwa kama picha inavyoonesha mchezaji alikuwa anamaanisha kitendo tunachodhania.