Simba vs Namungo, unadhani mechi ya leo mnyama atapata penalt dk ya ngapi?

Simba vs Namungo, unadhani mechi ya leo mnyama atapata penalt dk ya ngapi?

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu kwa sasa mtatusameh kwakweli tunapozidiwa uwa tunakula mpaka Majani🤣🤣🤣🤣
 
Kama namungo watacheza kwa kupishana na Simba bila woga watapata matokeo mazuri, Ila wakisema wawahofie Simba na kupaki bus watafungwa na penati zitapatikana. Namungo wacheze Kama walivyo cheza na Azam, wasiongeze Wala kupunguza watashinda zaidi ya goli moja. Simba ukiwapeleka mchakamchaka wanapoteana vibaya.
 
Kama ambavyo vimewaokoa MBWA jana dhidi ya MPAPASO.
Kwani mpapaso walikuwa wanaongoza goli ngap mpaka yanga iokolewe na penalty? Basi wameliondoa goli la penalty matokeo yanasomaje mkuu🤣🤣🤣
 
Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu kwa sasa mtatusameh kwakweli tunapozidiwa uwa tunakula mpaka Majani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka tukusaidie kubet?
 
Kwani wanapata penat bila timu pinzani kufanya makosa?.Huu ni ushabiki maandazi yasiyo na chumvi wala sukari.
 
Leo refa ayape haya matakataka penalti tu mapema halafu namungo wachomoe mwishoni [emoji23]
 
Back
Top Bottom