Sisi hatutumii mpesa tunatumia miguu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado.
Msimu uliopita ulikuwa mteremko kwenu,mlitakiwa kushinda mechi zote ili kujiweka ktk nafasi nzuri.
Msimu huu jiandaeni kisaikolojia mapema...
Huyo ni mzamiru acha kupotosha utafungwa na tcraBlagnon anapiga free header inakwenda nje