Tito Martin Ngholo
Member
- Nov 30, 2016
- 7
- 8
Simba 2 Ndanda 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngapi ngapi ktk simba na ndandaKutangulia si kufika
Simba 2 -0 NdandaNgapi ngapii?
Nani katupia cha afya cha pili??Simba 2 -0 Ndanda
Vyura wana vituko sanaHii ni dedication kwa vyura wote wa jangwan
Vp mech imeisha?Simba 2 -0 Ndanda
Vp mkuu mech imeishaVyura wana vituko sana
yani sisi hatujacheza mechi hata moja
Oooh tuko kileleni.
Haya wenye kilele ndo tumerejea mlikuwepo kwa muda tu
Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huoKipindi cha pili Ndanda wameacha kabisa kucheza mpira. Wanawapa Simba pasi, ni shida. Ingekuwa ni Yanga hakika leo tungemwona Manara akilialia kwenye tv
Mkuu angalia zimebaki dk ngapi!!??Vp mkuu mech imeisha
Kama kawaidaaaaa...kileleniMpira umekwisha