Huwezi kuwa mpenzi wa migongo wazi. Hakuna mpenzi wa mgongo wazi anayejua kwenye mpira kuna matokeo matatu. Kushinda,kushindwa na sare.Pongezi za dhati kwa watani zangu Simba FC wekundu wa msimbazi.
-Ongezeni juhudi zaidi sababu ligi ngumu na ushindani ni mkubwa.