Simba VS Ndanda: Updates

Simba VS Ndanda: Updates

Pongezi za dhati kwa watani zangu Simba FC wekundu wa msimbazi.
-Ongezeni juhudi zaidi sababu ligi ngumu na ushindani ni mkubwa.
Huwezi kuwa mpenzi wa migongo wazi. Hakuna mpenzi wa mgongo wazi anayejua kwenye mpira kuna matokeo matatu. Kushinda,kushindwa na sare.
 
Na ndio mojawapo aliyefukuzwa kwa kutuhumiwa kuuza mechi hiyo.Ameshafukuzwa kwenye timu ya Kagera Sugar.
Haya bana. We jamaa unavyotetea haya Hongereni sana kwa ushindi. Ila msirudie kununua mechi
 
Mwaka huu mbona mna mchecheto sana. Marefa hawatawabeba tena hivyo mpira uwanjani. Tunataka bingwa wa halali.
 
Kotei alipigwa kiwiko bila refa kuchukua hatua. Na umekuwa mtabiri mzuri kwani ubingwa mtautema.
 
yaani kipindi cha pili mabeki wa ndanda wanawapasia mafowadi wa simba ili wawafunge kwa staili hii soka letu lina safari ndefu
Bora aliyepasia, kuliko aliyeamua kuwafungia goli kabisa! Naona nauli yenu ya kwenda kuleta fitna mtwara inawauma? Mnakimbia wakati hamna breki, what do you expect?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] uuuuuwiiii!!
 
Tulie sana kwa lipi? Kwa wanunuaji mechi ? Ilichokifanya simba leo ni unproffessional kwenye football. Na mpenzi yoyote wa mpira wa Tanzania inabidi akemee ununuaji wa mechi kwa nguvu zote.
Kama huna ushahidi unatia aibu tu humu ndani.
 
Back
Top Bottom