Simba VS Ndanda: Updates

Simba VS Ndanda: Updates

Akina sembo wako wapi jamani?
Namna hii mechi kubwa kama hii kukosa thread ya updates yenye kueleweka maana yake nini?
Au zile 'salamu' za jana mmeshaanza kupotezana?

Msimu uliopita siku kama hii yenye mechi ya Simba thread zilikuwa zinaanzishwa masaa 10 na zaidi kabla ya mechi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa ufupi kipindi hiki Ndanda wako vizuri kweli kweli
 
Yule mido mghana Ekotite katolewa baada ya kuumia
 
SIMBA
1. Daniel Agei
2.Bukungu
3.Mohamed Husein
4. Abdi Banda
5. Method Mwanjala
6. Jonas Mkude
7.Kichuya
8. James Kotei/ Muzamiru
9.Blagnon
10.Ajibu
11. Mohamed Ibrahimu
 
Madogo waanacheza kisenge hawa,ndio kitu gani hii natazama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado.
Msimu uliopita ulikuwa mteremko kwenu,mlitakiwa kushinda mechi zote ili kujiweka ktk nafasi nzuri.
Msimu huu jiandaeni kisaikolojia mapema...
 
Back
Top Bottom