Amefanya vzur akemee pia ilo la kuchagua mashabik ,una timu nzur unajiamin ya nn kukataza watu kuja uwanjan atakaevunja sheria atachukulia hatua iwe yang au simba sio kuzuia watu kuja kisa utazomewa huo ni ushambaMo amekanusha kuna kodi za serikali ila jamaa alifikiri kuongea vile ni sifa