Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masharti yanakuja kutokana na yale mnayoyafanya mkuu..!Yaani kwenye mechi za wenzenu mnaingia zenu mnaweka massharti?[emoji769]
Serious mkuu kuna tofauti wanayofanya Simba na Yanga?! Mbona wote ndo walewale..Masharti yanakuja kutokana na yale mnayoyafanya mkuu..!
Utd na City ni mahasimu wa mji mmoja. Je hivi ushaona Man Utd anacheza na Chelsea halafu shabiki wa Man City kavaa Jezi za Chelsea uwanjani?Serious mkuu kuna tofauti wanayofanya Simba na Yanga?! Mbona wote ndo walewale..
Ha ha ha tutakuja kwa wingiKwa kifupi tiketi ziuzwe kwenye matawi ya Simba akija utopolo asipewe tiketi kama wanataka kuangalia mechi za kimataifa waangalie kwenye tv wako kama wachawi
Unayejipendekeza ni wewe timu inayocheza haikuhusu lakini una kiherehere.Mm tavaa kijan yangu na taingia ole wenu mjipendekeze
Ujinga huuNaomba uongozi wa Simba hii mechi inayokuja watangaze kabisa kabla watu hawajanunua tickets kwamba hakuna kuingia bila jezi ya Simba au nguo nyekundu, itangazwe kwamba hakuna kuingia ukivaa njano, hatutaki wasaliti kwenye mechi hii.
Ijulikane mapema kama utavaa njano huingii getini, wapo wahuni watavaa Simba kwa juu wakiingia watavua, wajulishwe njano ikionekana uwanjani unatolewa, mechi ya Simba halafu wavae madera ya njano na kijani kushangilia wageni.
Hizo ndio tutawachoma moto kabisaTutavaa za CCM tuone kama mtatugusa
Mkuu unajua wale wanaijeria pia wana nafasi zao za mashabiki? Sasa itakuwaje na wao wavae nyekundu?Naomba uongozi wa Simba hii mechi inayokuja watangaze kabisa kabla watu hawajanunua tickets kwamba hakuna kuingia bila jezi ya Simba au nguo nyekundu, itangazwe kwamba hakuna kuingia ukivaa njano, hatutaki wasaliti kwenye mechi hii.
Ijulikane mapema kama utavaa njano huingii getini, wapo wahuni watavaa Simba kwa juu wakiingia watavua, wajulishwe njano ikionekana uwanjani unatolewa, mechi ya Simba halafu wavae madera ya njano na kijani kushangilia wageni.
Mo amekanusha kuna kodi za serikali ila jamaa alifikiri kuongea vile ni sifaSimba timu yangu ila katika ili wameniangusha sana na lile la kaduguda mpra wa tz sio wa kutaja kias alichopewa mchezaj au kununuliwa timu zetu iz majungu meng wachezaj kwa kwa wachezaj ,na ilo la kuwazuia watu wasije katika mechi yenu pia ni ujinga njia ya kukataa kuzomewa ni kufanya vizur