mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Sio kitandani tu, yaani haya ni magoli ya usingizini kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kuna watu wanafunga magoli kama ya kitandani?
Mtapigwa sana na Yanga pamoja na Azam Kila mkikutana paka muache hii Michezo yenu....Unaumia ukiwa wapi?
Chomoa huo mwiko hapo nyuma taratibu..maumivu yatapungua
Si vizuri kuandika maneno machafu kama haya mkuuUnaumia ukiwa wapi?
Chomoa huo mwiko hapo nyuma taratibu..maumivu yatapungua
Sawa mkuu kwa heshima, ngoja niyafute...Si vizuri kuandika maneno machafu kama haya mkuu
Achana nae huyo ni shoga atakutia laana bureSi vizuri kuandika maneno machafu kama haya mkuu
Itafaa sana kiongoziSawa mkuu kwa heshima, ngoja niyafute...
Ila wala mihogo wana midomo sana
Shangaa zaidi mchezaji ambae hawezi hata kupiga danadana mbili anatafuta hat trick??? Mazafanta.... Takukuru kamateni Hawa watu eboooNimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huoni kama unaji contradict mwenyewe?? Yaani hao ambao wametolewa ndio hao ambao wamepanga matokeo.. Hilo nalo paka uwe umebwia unga ndo uelewe...Ukiacha utaahira utakuwa wa maana zaidi..ruvu wameingia full mkoko ila beki yao ya kulia ambayo ni tegemezi tariq abey hajaonekana kuwa bora leo,pia mtu kama abal kasim anaonekana hana ubora leo..
Kwa kigezo hicho kocha mkwasa anawatoa hata kipindi cha kwanza hakijaisha,kwa akili yako unadhani kama ingekuwa match fixing wangewatoa wachezaji tegemezi!??.
Juzi alianza full beki kulia boxer ambaye huwa haanzi,beki wa singida tegemezi ni gyan alieingia kipindi cha pili.
Pia wawa alianzia benchi,ulijiuliza kwanini???
Timu ya ruvu huwa hawawaheshimu simba hata siku moja,hawajawahi kujilinda dhidi ya simba,ila wakicheza ba yanga mara zote huwa wanapaki basi kwa kuwa wanawaheshimu yanga.
N.b ukicheza na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira,na wachezaji wake wana uwezo na spidi kama simba au yanga na azam ukitaka pishana nao lazima..narudia LAZIMA ufungwe tuu.
Mpaka niko anafunga hii ni poshoNisiwachoshe msinichoshe
Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili
TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu mimi nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]