Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

Nimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ukiacha utaahira utakuwa wa maana zaidi..ruvu wameingia full mkoko ila beki yao ya kulia ambayo ni tegemezi tariq abey hajaonekana kuwa bora leo,pia mtu kama abal kasim anaonekana hana ubora leo..

Kwa kigezo hicho kocha mkwasa anawatoa hata kipindi cha kwanza hakijaisha,kwa akili yako unadhani kama ingekuwa match fixing wangewatoa wachezaji tegemezi!??.

Juzi alianza full beki kulia boxer ambaye huwa haanzi,beki wa singida tegemezi ni gyan alieingia kipindi cha pili.

Pia wawa alianzia benchi,ulijiuliza kwanini???

Timu ya ruvu huwa hawawaheshimu simba hata siku moja,hawajawahi kujilinda dhidi ya simba,ila wakicheza na yanga mara zote huwa wanapaki basi kwa kuwa wanawaheshimu yanga.

N.b ukicheza na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira,na wachezaji wake wana uwezo na spidi kama simba au yanga na azam ukitaka pishana nao lazima..narudia LAZIMA ufungwe tuu.
 
Nimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Shangaa zaidi mchezaji ambae hawezi hata kupiga danadana mbili anatafuta hat trick??? Mazafanta.... Takukuru kamateni Hawa watu ebooo
 
Nimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Mpira unaujua lakini?au unaongea tu?uliona mechi ya ihefu na simba,ihefu waliingia na falsafa gani?Ruvu huwa hawapaki basi wakicheza na simba hicho ndo huwa kinawaponza,na kama wakiendelea kupishana nao basi leo kuna goli 5+
 
Ukiacha utaahira utakuwa wa maana zaidi..ruvu wameingia full mkoko ila beki yao ya kulia ambayo ni tegemezi tariq abey hajaonekana kuwa bora leo,pia mtu kama abal kasim anaonekana hana ubora leo..

Kwa kigezo hicho kocha mkwasa anawatoa hata kipindi cha kwanza hakijaisha,kwa akili yako unadhani kama ingekuwa match fixing wangewatoa wachezaji tegemezi!??.

Juzi alianza full beki kulia boxer ambaye huwa haanzi,beki wa singida tegemezi ni gyan alieingia kipindi cha pili.

Pia wawa alianzia benchi,ulijiuliza kwanini???

Timu ya ruvu huwa hawawaheshimu simba hata siku moja,hawajawahi kujilinda dhidi ya simba,ila wakicheza ba yanga mara zote huwa wanapaki basi kwa kuwa wanawaheshimu yanga.

N.b ukicheza na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira,na wachezaji wake wana uwezo na spidi kama simba au yanga na azam ukitaka pishana nao lazima..narudia LAZIMA ufungwe tuu.
Huoni kama unaji contradict mwenyewe?? Yaani hao ambao wametolewa ndio hao ambao wamepanga matokeo.. Hilo nalo paka uwe umebwia unga ndo uelewe...
 
Nisiwachoshe msinichoshe
Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili

TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu mimi nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]
Mpaka niko anafunga hii ni posho
 
Back
Top Bottom