Mkuu kwa taarifa iliyopo ni kua uwanja ule bado haujafungiwa na hata coastal union wapo mbarali wanasubiri mechi na Ihefu.Huyo Ihefu amefungiwa kiwanja chake kwa vile utopolo mna kiporo naye,mkishamaliza kiporo kiwanja kinafunguliwa.
Itakuwa hivyo kwa Coastal ambapo mtacheza Arusha siku zote kisha kiwanja kinafunguliwa
Pasi 10 kwny match fixing ni kitu Cha kawaida.. zijaziona pasi 10 za Simba kwenye match yyte ile ya ligi hivi karibuniMkuu unatazama Simba ipi ambayo haipigi pasi 10
Mkuu uwanja umefungiwa juzi tar 17Mkuu kwa taarifa iliyopo ni kua uwanja ule bado haujafungiwa na hata coastal union wapo mbarali wanasubiri mechi na Ihefu.
Kwani kwenye mechi jati ya Yanga na Singida Big Stars mlikuwa na ushahidi gani?Una ushahidi
Kwa kigezo tu cha hao wachezaji kutokuwa na ubora kwenye mechi ya leo, si ndiyo kuuza kwenyewe huko kwa mechi! Kupitia ule mtazamo wenu kwenye ile mechi ya juzi?Ukiacha utaahira utakuwa wa maana zaidi..ruvu wameingia full mkoko ila beki yao ya kulia ambayo ni tegemezi tariq abey hajaonekana kuwa bora leo,pia mtu kama abal kasim anaonekana hana ubora leo..
Kwa kigezo hicho kocha mkwasa anawatoa hata kipindi cha kwanza hakijaisha,kwa akili yako unadhani kama ingekuwa match fixing wangewatoa wachezaji tegemezi!??.
Juzi alianza full beki kulia boxer ambaye huwa haanzi,beki wa singida tegemezi ni gyan alieingia kipindi cha pili.
Pia wawa alianzia benchi,ulijiuliza kwanini???
Timu ya ruvu huwa hawawaheshimu simba hata siku moja,hawajawahi kujilinda dhidi ya simba,ila wakicheza ba yanga mara zote huwa wanapaki basi kwa kuwa wanawaheshimu yanga.
N.b ukicheza na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira,na wachezaji wake wana uwezo na spidi kama simba au yanga na azam ukitaka pishana nao lazima..narudia LAZIMA ufungwe tuu.
Yanga 6 Makolokolo 0Timu zipo 16. Azam na Yanga nazo zilishapigwa 4 na mnyama, tena Yanga hadi 5 amepigwa, kwa hiyo mnawalaumu Ruvu bure
Boko bench amechoka so kaamua kwenda kwa babu kuboost mitambo hahahaaa simba na uwizard ni Pete na kidoleMtu kama john boco ambae hata kugeuka hawezi eti nayeye anatafuta hat trick [emoji848][emoji848][emoji848].. Hiiiiiiiii baghoshaaaaa
Usisahau na offsides pia ni kwa Yanga tu tena akiwa anaenda kufunga Mayele wala si Makolokolo/mbumbumbu/Malalamiko Makelele...[emoji1]Mkuu tulishakubaliana fixed match zote ni za Yanga, Simba pekee ndio huwa anashinda kihalali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa umefungiwa lakini nimekwambia kua kuna taarifa utatumika kwenye mechi ijayo ya Ihefu vs coastal unionMkuu uwanja umefungiwa juzi tar 17View attachment 2421356
Muamala mkuu... Takukuru wameshaingia kazini tayari..Boko bench amechoka so kaamua kwenda kwa babu kuboost mitambo hahahaaa simba na uwizard ni Pete na kidole
Mkuu acha uongo boxer amecheza mechi nyingi katika nafasi ya beki wa kulia na huyo Gyan akiwa singida hajawahi kucheza namba 2 .
Unaposema Wawa hajaanza mbona ni mechi ya 4 ya singida Wawa haanzi .
Tunafwatilia mpira vizuri huwezi tudanganya kirahisi hivi.
Hakuna kitu kinaitwa match fixing Tz ni upumbavu tu wa mashabiki kulinganisha kua wakiona timu imetoa draw na Simba basi wanaamini Yanga nayo atatoa nayo draw.
Kipa gani huyu, yani kila shuti goli khaaa
Hapana wameshinda kihalaliNisiwachoshe msinichoshe
Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili
TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu mimi nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]
Kwa kigezo tu cha hao wachezaji kutokuwa na ubora kwenye mechi ya leo, si ndiyo kuuza kwenyewe huko kwa mechi! Kupitia ule mtazamo wenu kwenye ile mechi ya juzi?
Maana mlikuja pia na porojo za wachezaji wa SBS kucheza chini ya kiwango, na hivyo wameuza mechi!
Tatizo lipo kwenu. Ingekuwa ndiyo Yanga imeshinda, tayari mngekuja na zile story zenu za kila siku.Kocha wao kasema wachezaji wake hawakuwa na recovery nzuri kutoka kwenye mechi dhidi ya azam..sasa sjui tumpinge mkwasa?