Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

Huyo Ihefu amefungiwa kiwanja chake kwa vile utopolo mna kiporo naye,mkishamaliza kiporo kiwanja kinafunguliwa.
Itakuwa hivyo kwa Coastal ambapo mtacheza Arusha siku zote kisha kiwanja kinafunguliwa
Mkuu kwa taarifa iliyopo ni kua uwanja ule bado haujafungiwa na hata coastal union wapo mbarali wanasubiri mechi na Ihefu.
 
Mchezaji ambae hawezi hata kugeuka, hawezi hata kutoa pasi Leo amefunga hat trick[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu kwa taarifa iliyopo ni kua uwanja ule bado haujafungiwa na hata coastal union wapo mbarali wanasubiri mechi na Ihefu.
Mkuu uwanja umefungiwa juzi tar 17
Screenshot_20221119-212659.jpg
 
Ukiacha utaahira utakuwa wa maana zaidi..ruvu wameingia full mkoko ila beki yao ya kulia ambayo ni tegemezi tariq abey hajaonekana kuwa bora leo,pia mtu kama abal kasim anaonekana hana ubora leo..

Kwa kigezo hicho kocha mkwasa anawatoa hata kipindi cha kwanza hakijaisha,kwa akili yako unadhani kama ingekuwa match fixing wangewatoa wachezaji tegemezi!??.

Juzi alianza full beki kulia boxer ambaye huwa haanzi,beki wa singida tegemezi ni gyan alieingia kipindi cha pili.

Pia wawa alianzia benchi,ulijiuliza kwanini???

Timu ya ruvu huwa hawawaheshimu simba hata siku moja,hawajawahi kujilinda dhidi ya simba,ila wakicheza ba yanga mara zote huwa wanapaki basi kwa kuwa wanawaheshimu yanga.

N.b ukicheza na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira,na wachezaji wake wana uwezo na spidi kama simba au yanga na azam ukitaka pishana nao lazima..narudia LAZIMA ufungwe tuu.
Kwa kigezo tu cha hao wachezaji kutokuwa na ubora kwenye mechi ya leo, si ndiyo kuuza kwenyewe huko kwa mechi! Kupitia ule mtazamo wenu kwenye ile mechi ya juzi?

Maana mlikuja pia na porojo za wachezaji wa SBS kucheza chini ya kiwango, na hivyo wameuza mechi!
 
Mtu kama john boco ambae hata kugeuka hawezi eti nayeye anatafuta hat trick [emoji848][emoji848][emoji848].. Hiiiiiiiii baghoshaaaaa
Boko bench amechoka so kaamua kwenda kwa babu kuboost mitambo hahahaaa simba na uwizard ni Pete na kidole
 
Mkuu acha uongo boxer amecheza mechi nyingi katika nafasi ya beki wa kulia na huyo Gyan akiwa singida hajawahi kucheza namba 2 .

Unaposema Wawa hajaanza mbona ni mechi ya 4 ya singida Wawa haanzi .

Tunafwatilia mpira vizuri huwezi tudanganya kirahisi hivi.

Hakuna kitu kinaitwa match fixing Tz ni upumbavu tu wa mashabiki kulinganisha kua wakiona timu imetoa draw na Simba basi wanaamini Yanga nayo atatoa nayo draw.

We kwa akili zako boxer anajua kuliko gyan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mpira unaangaliaga kweli mkuu ,yule gyan ni mtu na nusu boxer hana mechi nyingi kumzidi gyan
 
Yanga alipokuwa anagawiwa magoli na dada yake sinhida big stars ulikaa wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kigezo tu cha hao wachezaji kutokuwa na ubora kwenye mechi ya leo, si ndiyo kuuza kwenyewe huko kwa mechi! Kupitia ule mtazamo wenu kwenye ile mechi ya juzi?

Maana mlikuja pia na porojo za wachezaji wa SBS kucheza chini ya kiwango, na hivyo wameuza mechi!

Kocha wao kasema wachezaji wake hawakuwa na recovery nzuri kutoka kwenye mechi dhidi ya azam..sasa sjui tumpinge mkwasa?
 
Kocha wao kasema wachezaji wake hawakuwa na recovery nzuri kutoka kwenye mechi dhidi ya azam..sasa sjui tumpinge mkwasa?
Tatizo lipo kwenu. Ingekuwa ndiyo Yanga imeshinda, tayari mngekuja na zile story zenu za kila siku.
 
Back
Top Bottom