Ushatoka kwenye hoja yako ulosema Gyan ndo anapangagwa namba 2 na mimi nimekurekebisha na kukwambia Gyan hajawahi cheza namba 2 akiwa singida big star hayo ya yeye kuwa Bora kuliko boxer hiyo ni hoja nyingine na mimi sijaigusia kabisa.We kwa akili zako boxer anajua kuliko gyan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mpira unaangaliaga kweli mkuu ,yule gyan ni mtu na nusu boxer hana mechi nyingi kumzidi gyan
Acheni undobotoro nyie, hivi Bocco ambaye ameshapruvu uwezo wake wa kufunga unathubutu vipi kusema hivyo?.Mtu kama john boco ambae hata kugeuka hawezi eti nayeye anatafuta hat trick [emoji848][emoji848][emoji848].. Hiiiiiiiii baghoshaaaaa
Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC humuwezi Yanga wewe, una miaka kama 3 unajinyeanyea tu.Mtapigwa sana na Yanga pamoja na Azam Kila mkikutana paka muache hii Michezo yenu....
Kufunga kwa Bocco ni kama ukishajifunza kuendesha Baiskeli...ukipewa unapanda tu unaenda.Boko bench amechoka so kaamua kwenda kwa babu kuboost mitambo hahahaaa simba na uwizard ni Pete na kidole
Ulitaka darling wenu mayele ndio awe peke. Yake tanzania mwenye hatrickMtu kama john boco ambae hata kugeuka hawezi eti nayeye anatafuta hat trick [emoji848][emoji848][emoji848].. Hiiiiiiiii baghoshaaaaa
Ushatoka kwenye hoja yako ulosema Gyan ndo anapangagwa namba 2 na mimi nimekurekebisha na kukwambia Gyan hajawahi cheza namba 2 akiwa singida big star hayo ya yeye kuwa Bora kuliko boxer hiyo ni hoja nyingine na mimi sijaigusia kabisa.