Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

We kwa akili zako boxer anajua kuliko gyan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mpira unaangaliaga kweli mkuu ,yule gyan ni mtu na nusu boxer hana mechi nyingi kumzidi gyan
Ushatoka kwenye hoja yako ulosema Gyan ndo anapangagwa namba 2 na mimi nimekurekebisha na kukwambia Gyan hajawahi cheza namba 2 akiwa singida big star hayo ya yeye kuwa Bora kuliko boxer hiyo ni hoja nyingine na mimi sijaigusia kabisa.
 
Fixed kivipi wakati Mgunda alipoamua kuivunja vunja timu kwa kufanya ndiopo walau Ruvu wakafufuka.

Ile ilionesha dhahiri kuwa ni mzigo ulikuwa mzito, kwamba wangewekewa kikosi nafuu nao wangefurukuta walau kwa droo kama sio kufungwa kamoja tu kwa mbinde.
 
Mtu kama john boco ambae hata kugeuka hawezi eti nayeye anatafuta hat trick [emoji848][emoji848][emoji848].. Hiiiiiiiii baghoshaaaaa
Acheni undobotoro nyie, hivi Bocco ambaye ameshapruvu uwezo wake wa kufunga unathubutu vipi kusema hivyo?.

Ingekuwa kafunga Kened Juma, Mzamiru au Kibu sawa, lakini Bocco...kuweni na heshima, kama kufunga ni kazi rahisi basi kila striker angekuwa anafunga.
 
Boko bench amechoka so kaamua kwenda kwa babu kuboost mitambo hahahaaa simba na uwizard ni Pete na kidole
Kufunga kwa Bocco ni kama ukishajifunza kuendesha Baiskeli...ukipewa unapanda tu unaenda.
 
We mlevi endelea kunywa hapo huku simba ikichanja mbuga.
 
Mtu kama john boco ambae hata kugeuka hawezi eti nayeye anatafuta hat trick [emoji848][emoji848][emoji848].. Hiiiiiiiii baghoshaaaaa
Ulitaka darling wenu mayele ndio awe peke. Yake tanzania mwenye hatrick
 
Ushatoka kwenye hoja yako ulosema Gyan ndo anapangagwa namba 2 na mimi nimekurekebisha na kukwambia Gyan hajawahi cheza namba 2 akiwa singida big star hayo ya yeye kuwa Bora kuliko boxer hiyo ni hoja nyingine na mimi sijaigusia kabisa.

We jamaa bhna ko huwa anacheza namba gani?
 
Back
Top Bottom