Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Nakazia!! Na hili wenge walilonalo sasa basi mpaka hiyo tarehe watakuwa nalo bado.

Labda wamuombe Baba yao Tiefuefu asogeze tena mechi mbele.
Nimepata tetesi kuwa wanaataka bodi ya ligi kuisogeza mbele mchezo ili kuwasaidia hawa wenzetu mshono upate kupona
 
Nilisema mapema kabla ya kufungwa kocha Mie simkubali kbs
Tumrudishe Julio? Au tumpe Mzawa Selemani Matola ili walau majungu yahamie kwa Wachezaji wenyewe sasa kutoka Benchi la ufundi?
 
Back
Top Bottom