Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nimepata tetesi kuwa wanaataka bodi ya ligi kuisogeza mbele mchezo ili kuwasaidia hawa wenzetu mshono upate kuponaNakazia!! Na hili wenge walilonalo sasa basi mpaka hiyo tarehe watakuwa nalo bado.
Labda wamuombe Baba yao Tiefuefu asogeze tena mechi mbele.