ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
super sport 9 wanaonyesha live saa moja usikuKwa anayefahamu Channel ipi wataonyesha basi tupeane taarifa mapema ili sie wengine wa hapa Dar tuifuate stadium ikiwa hautaonyeshwa
Tuombe mungu tu mvua isiharibu burudani hii adimu.
haina maana bora wasiionyeshe
haina maana bora wasiionyeshe
ππππhaina maana bora wasiionyeshe
Kaka ndio ufuatilie utuambie ili sisi wa Sevilla ππ tujue baada ya kufuturu tunaangalia wapi mpira. Teh teh teh.Azam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
Mtani Swalaaama!!!