Simba vs Sevilla tutaiona game leo kupitia Tv?

Simba vs Sevilla tutaiona game leo kupitia Tv?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa anayefahamu Channel ipi wataonyesha basi tupeane taarifa mapema ili sie wengine wa hapa Dar tuifuate stadium ikiwa hautaonyeshwa.

Tuombe mungu tu mvua isiharibu burudani hii adimu.
 
Wacha tuendelee kusubiri kidogo,,wataamka na kuja kutujuza
 
Azam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
 
 
Anaulizia la liga Leo ita oneshewa wapi CC joanah CC Shadeeya



IMG_20190523_130852_908.JPG
 
Back
Top Bottom