ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
- Thread starter
-
- #21
Mbona walionyesha ile ya everton ? Au sikumbuki vizuriAzam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
Sidhani.Mbona walionyesha ile ya everton ? Au sikumbuki vizuri
Duh sasa kwa mfano ligi kuu Tanzania Bara ikizaminiwa na Sport pesa itakuajeAzam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
Basi nimefutaAzam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
Azam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
😀😀😀Friendly match haina msisimko, ila wanasimba wameikamia kweli 😁😁
Msimu huu unaoisha TBL wali itaka ligi kwa pesa ndefu ila Azam aligoma. Hizi ni habari za ndani kabisa so ata hiyo sportpesa hawezi pewa hiyo tender kama hii habari ina ukweli. Sina uhakika ila kuna mtu mwenye akili zake nili msikia akiliongea hili.Duh sasa kwa mfano ligi kuu Tanzania Bara ikizaminiwa na Sport pesa itakuaje
Msimu huu unaoisha TBL wali itaka ligi kwa pesa ndefu ila Azam aligoma. Hizi ni habari za ndani kabisa so ata hiyo sportpesa hawezi pewa hiyo tender kama hii habari ina ukweli. Sina uhakika ila kuna mtu mwenye akili zake nili msikia akiliongea hili.
hii haiwezi kua kweli maana TFF wana ukata wa hali juuMsimu huu unaoisha TBL wali itaka ligi kwa pesa ndefu ila Azam aligoma. Hizi ni habari za ndani kabisa so ata hiyo sportpesa hawezi pewa hiyo tender kama hii habari ina ukweli. Sina uhakika ila kuna mtu mwenye akili zake nili msikia akiliongea hili.
Duh bas kumbe Azam anapower kubwa ktk ligi ye2..kwaiyo TBL nao alikataa kuungana nae kwasababu niwazee wavilevi
Inaweza ika kweli au siyo kweli. Ila ligi ikidhaminiwa na Sportpesa au TBL, Azam hawezi kuionyesha huo ni ukweli. Kuhusu influence kweli anayo kwa sababu amewekeza sana kwa ajiri ya kuonyesha mechi zetu, kuanzia rasilimali watu mpaka mitambo, pia ameipa sana thamani ligi yetu kwa hiyo jambo lake akiliongea lazima litafikiriwa. Pia inawezekana ata mkataba alioingia na bodi ya Ligi ukawa una kifungu cha kukataza makampuni yenye mlengo huo kupewa haki ya kuwa wadhamini wakuu wa ligi.hii haiwezi kua kweli maana TFF wana ukata wa hali juu
Mimi nasubiria hapa https://cricfree.sc/watch/live/simba-vs-sevilla-live-streamingTukipeana hata link itakua vyema
Mimi naisubiria hapa https://cricfree.sc/watch/live/simba-vs-sevilla-live-streamingKwa anayefahamu Channel ipi wataonyesha basi tupeane taarifa mapema ili sie wengine wa hapa Dar tuifuate stadium ikiwa hautaonyeshwa.
Tuombe mungu tu mvua isiharibu burudani hii adimu.
ila kama yeye ni muumini wa ukweli mbona timu yake ilidhaminiwa na NMB (mambo ya riba)!!Inaweza ika kweli au siyo kweli. Ila ligi ikidhaminiwa na Sportpesa au TBL, Azam hawezi kuionyesha huo ni ukweli. Kuhusu influence kweli anayo kwa sababu amewekeza sana kwa ajiri ya kuonyesha mechi zetu, kuanzia rasilimali watu mpaka mitambo, pia ameipa sana thamani ligi yetu kwa hiyo jambo lake akiliongea lazima litafikiriwa. Pia inawezekana ata mkataba alioingia na bodi ya Ligi ukawa una kifungu cha kukataza makampuni yenye mlengo huo kupewa haki ya kuwa wadhamini wakuu wa ligi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
super sport 9 wanaonyesha live saa moja usiku