Inaweza ika kweli au siyo kweli. Ila ligi ikidhaminiwa na Sportpesa au TBL, Azam hawezi kuionyesha huo ni ukweli. Kuhusu influence kweli anayo kwa sababu amewekeza sana kwa ajiri ya kuonyesha mechi zetu, kuanzia rasilimali watu mpaka mitambo, pia ameipa sana thamani ligi yetu kwa hiyo jambo lake akiliongea lazima litafikiriwa. Pia inawezekana ata mkataba alioingia na bodi ya Ligi ukawa una kifungu cha kukataza makampuni yenye mlengo huo kupewa haki ya kuwa wadhamini wakuu wa ligi.
Sent from my SM-J110H using
JamiiForums mobile app