Simba vs Sevilla tutaiona game leo kupitia Tv?

Simba vs Sevilla tutaiona game leo kupitia Tv?

Bora waje washindani wengine wa tv waonyeshe ligi ya bongo, azam naona anaingiza dini kwenye chaneli zake mara kamari, pombe mbona anaonyesha ligi za ulaya ambazo hizo kamari zipo
Ni kweli azam ana kila nyenzo za kuinua soka la bongo lakini akijichanganya kwenye dini hataweza.
Vipi kama ingekua enzi za timu ya Pilsner na Chibuku wangeonyesha?
 
Back
Top Bottom