Simba vs Sevilla

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Ule usemi wa kwa mchina hatoki mtu mbele ya simba sc. Je utadhihirika mbele ya Servilla? Servilla washalijua hilo na kusema wanata kuuvunja huo mwiko. Wameapa kuweka first eleven yao na kusema watacheza kufa au kupona. Tusubir tuone
 
Kati ya vitu ninavyomwomba Mungu aniepushe navyo ni kuwa kichaa.
 
Servilla ikifungwa na simba kwa mchina basi nataamini hata barcelona akija kwa mchina anakufa.
 
Utakuwa umekosea mkui. Matokeo hayo huwa ni nje ya kwa mchina. Matokeo ya kwamchina tunayajua. Huwa ni 1-0 au 2-1 ushindi kwa simba
Hata wangechezea sayari ya Mars,hizo ndio goli atakazofungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…