Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
ni.lini.hii gameUle usemi wa kwa mchina hatoki mtu mbele ya simba sc. Je utadhihirika mbele ya Servilla? Servilla washalijua hilo na kusema wanata kuuvunja huo mwiko. Wameapa kuweka first eleven yao na kusema watacheza kufa au kupona. Tusubir tuone