Simba vs Sevilla

Simba vs Sevilla

Kwanini mkuu. Kwa mchina pagumu sana kwa timu zinazocheza na simba sijui kwanini.
Pagumu kwaTimu kutoka nje ya Tz isipokuwa Bandari ya Kenya (Kumbuka sports pesa) 😀😀😀 natania tu!
 
Zidi kuamini hivyo mleta uzi ukija kushituka umepigwa tatu unadondoka unakufa.
 
Simba ndio inawakilisha Tanzania. Naona juzi wachezaji wa sevilla walikuwa wanahojiwa wanasema wanaijua simba tu afrika mashariki
 
Ata mimi niliona hayo mahojiano, kuna mmoja akasema hii ni kama ndoto inatimia, anavutiwa sana na shangwe la mashabiki wa Simba na wao wasingefurahi kucheza na timu nyingine zaidi ya Simba na kama ingetokea wangeleta kikosi B.
 
Leta link apa tuchek wenyewe maana ninyi mikia mmezid umbea
 
Ule usemi wa kwa mchina hatoki mtu mbele ya simba sc. Je utadhihirika mbele ya Servilla? Servilla washalijua hilo na kusema wanata kuuvunja huo mwiko. Wameapa kuweka first eleven yao na kusema watacheza kufa au kupona. Tusubir tuone
Edit jina la Sevilla
 
Servilla?? Hii timu ipo ktk ligi ya nchi gani?
 
Naamin sku hiyo dalali Zahera atakuwepo kujinufahisha kibiashara
 
Shukrani sana 😜😜

1103369

Yees Mtani.
 
Attachments

  • AB781926-585D-4B45-8CE4-3F63E064DEE3.png
    AB781926-585D-4B45-8CE4-3F63E064DEE3.png
    211.7 KB · Views: 19
Back
Top Bottom