Hivi kuna shabiki yeyote wa Simba anayeendelea kulikataa jina la wa mchangani?
Na mkifanya mchezo mwaka huu mtaendelea kubakia wa hapahapa tu,hata nafasi ya pili mtaendelea kuwaachia Azam.
Bingwa anaonekana tayari,hakuna wa kuizima indiketa iliyokwisha kuwaka ya Yanga.
Biashara asubuhi,jioni hesabu tu.
Poleni sana watani wetu wa zamani,maana msimu huu mkishindwa hata kuipata nafasi ya pili mtani wetu atakuwa Azam.
Tumechoka utani na 'Wa Mchangani'.
cc
GENTAMYCINE Katavi Mussolin5 bae
Mdakuzi na mikia wote.
Kuna video ya Hans Pope kataka kuchezea vitasa leo vya mashabiki wa mikia nashindwa kui-upload.
IKO HIVI....
Upumbavu wa wanachama na washabiki wa Simba SC ni kuendelea kuamini kuna mafanikio chini ya Utawala (usichanganye na uongozi) wa Evans Aveva.
Mmeona leo timu yenu inavyoendeshwa "kihuni" baada ya kadi ya yule "poyoyo" wa kiganda aliyeiporomosha Coastal, hii timu ya "kishenzi" namna hii ishinde iwakilishe nchi??? Mimi nitakuwa wa kwanza kupinga.
Kuwakilisha nchi sio sawa na kwenda chooni tu ukakaa na mavi ya katoka, tena kuna wakati angalau unalazimika kujikamua, lazima ujipange na upangike. Hatuna wachezaji wenye thamani na uwezo kama walio nayo Yanga na Azam.
Sio vibaya kuiga kutoka kwa Yanga, wenzetu wana kocha wa mpira, sisi tuna msimamizi wa mazoezi mtumwa wa viongozi, hata hesabu zake zinaonekana tu, mwalimu yupo "shalo" mpaka wachezaji wanamdharau.. Hivi Msuva anaweza kumletea kibesi Pluijm?? Anaanza kwanza kwa mfano?
Thamani ya kocha pia inachangia kuleta nidhamu na matokeo uwanjani, kocha kaokotwa "jalalani" huko ili watu wavute mpunga, kocha anafanya sub mpaka wachezaji wanashika vichwa..Maamae!!
Simba ya Aveva haipo serious kabisa na mpira, kuna masuala tofauti tu nadhani ndio yamewaweka pale, ni afadhali tupotee kwenye ramani ya mpira kuliko kupata nafasi kubwa ambayo hatuna maandalizi nayo.
Usenge mwingine ni wale walioukataa uongozi kisha wakaukubali kwa kushinda vimechi vya mwanzo, leo mnafungwa mnatoa povu wengine wanataka kupiga wachezaji, huu ni upumbavu wa hali ya juu, ni wazi hamjui ni nini mnataka, mnapeperuka tu kama makalio ya kahaba.
Kuna mfumo tunautaka ambao hata ikitokea tumefungwa tutasema ndivyo mpira ulivyo na hatutalaumu, sasa kuna ndezi kanyaboya wachache naona wamepokea matokeo na wanasema eti ndio mpira.. Manioko zao wote.
Kama huwezi kumgonga mkeo mpaka umchezee kidogo alegee, kwanini mnataka kuwakilisha nchi bila maandalizi? Ni sawa kumuingilia mkeo bila kumuandaa unakuwa umembaka, sasa kwanini Simba wanataka kuyabaka mashindano ya kimataifa? Haiwezekani aisee.
Jeff Gemo Mnyama Machine
The One Man Army
Affirmative Gemo The Great.
#SeriesFreeLife
Season One | Episode 19