Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Tusubiri mechi zote ziishe. Mechi Na azam bado nadhani baada ya azam kurejea kutoka mechi za kimataifaNgoja tuone. Game na Azam lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri mechi zote ziishe. Mechi Na azam bado nadhani baada ya azam kurejea kutoka mechi za kimataifaNgoja tuone. Game na Azam lini?
Nimekuelewa ndugu, Kila LA kheri katika mbio za ubingwaTusubiri mechi zote ziishe. Mechi Na azam bado nadhani baada ya azam kurejea kutoka mechi za kimataifa
Asante mkuu. Nawe kila la Heri Na yeboyebo yenu.Nimekuelewa ndugu, Kila LA kheri katika mbio za ubingwa
Asante sanaAsante mkuu. Nawe kila la Heri Na yeboyebo yenu.
68' Mins | Arsenal 1 - 0 Crystal PalaceNasikia tunaongoza sasa.
Kama sio kadi nyekundu refa alionyesha kadi ya rangi gani blue? Au zambarau? Utakuwa una matatizo ya macho.Kwa walio ona mpira sidhani kama ile ni kadi nyekundu kwani hakukuwa na madhambi yoyote aliyoyacheza kessy
Colour blindness.. kama sikoseiKama sio kadi nyekundu refa alionyesha kadi ya rangi gani blue? Au zambarau? Utakuwa una matatizo ya macho.
Pole ila jina lako linanikumbusha Katavi rangers na ujenzi rukwa ya akina David ilundaHahahaah ndugu maumivu tu hata hamu ya kuiona mechi ya arsenal sina.
Kuna raha ndani ya maumivu kama pilipili kuwasha kwake ndo raha yenyewe.Mwanamke unayempenda akuumize
timu unayoipenda ikutese ikiwa inafungwa mfululizo
Sitaki mambo hayo
Adabu wameiacha Misigiri, mara tu baada ya kumaliza Mlima Senkenke....... hawa watoto wa yanga hawana adabu
Kuna video ya Hans Pope kataka kuchezea vitasa leo vya mashabiki wa mikia nashindwa kui-upload.Hivi kuna shabiki yeyote wa Simba anayeendelea kulikataa jina la wa mchangani?
Na mkifanya mchezo mwaka huu mtaendelea kubakia wa hapahapa tu,hata nafasi ya pili mtaendelea kuwaachia Azam.
Bingwa anaonekana tayari,hakuna wa kuizima indiketa iliyokwisha kuwaka ya Yanga.
Biashara asubuhi,jioni hesabu tu.
Poleni sana watani wetu wa zamani,maana msimu huu mkishindwa hata kuipata nafasi ya pili mtani wetu atakuwa Azam.
Tumechoka utani na 'Wa Mchangani'.
cc GENTAMYCINE Katavi Mussolin5 bae Mdakuzi na mikia wote.
Thubutu. Njoo nikununulie juice ya pilipili, mkuuKuna raha ndani ya maumivu kama pilipili kuwasha kwake ndo raha yenyewe.
UmetishaaaaaOMBI LA SIMBA KWA TFF
Sisi kama simba hatujapenda hiki kitendo cha Toto Africa kuvaa jezi kama za Yanga(Kijani) kiukweli zinatuharibu kisaikolojia... Kwanini Wavae jezi za kijani na sio zambalau au nyeupe na wanajua si tunaogopa kijani..
Haji Manara
ikiuzwa pesa anapokea nani?Dewj anaitaka hii Simba,auziwe tu maana li-timu linyewe limekuwa bovu kupitiliza...wanasajili wachezaji ya nje wa nje wanaorukaruka tu.Kiongera wa nini pale...sijui mwenyekiti wa Simba ni nani maana leo ingebidi ajiuzulu au ni weww Katavi
Kuwasha ndio raha wenyewe.Thubutu. Njoo nikununulie juice ya pilipili, mkuu
poa mkuuKuwasha ndio raha wenyewe.
Hapana.Mnunulie Juisi ya Miwa. Hasa kutokaTanga..Thubutu. Njoo nikununulie juice ya pilipili, mkuu