Simba vs Toto Africa

Ha ha ha mkuu nilidhani we simba daima sasa mbona unawaumiza moyo?
Niliwasaidia tu kuleta update maana walikuwa wameshaisusa. Si unaona kuna mdau hapo wa azam kafungua uzi sisi wa Yanga tunatoa update. Tunawasaidia maana kila timu yao ikicheza wako busy kumeza PANADOL hata update zinawashinda
 
Mkuu hukuungana na wale jamaa Die Hard Simba SC Fans waliotaka kumchapa makofi Hasn Poppe ile Jana!!!!!!
Nafikiri ningekuwepo uwanjani ningeungana nao hata kumtemea mate usoni....wamesajili watu wa hovyo sana msimu huu.
 
Kula like 1000 x70 mkuu
 
Ila mashabiki wa simba wana kelele! Hii dhahama ingekuwa inaipata Yanga hakika Yanga wangekoma kwa makelele kutoka kwa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…