Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguzeni kulalamika chezeni mpiraNipo mkuu
Niliwasaidia tu kuleta update maana walikuwa wameshaisusa. Si unaona kuna mdau hapo wa azam kafungua uzi sisi wa Yanga tunatoa update. Tunawasaidia maana kila timu yao ikicheza wako busy kumeza PANADOL hata update zinawashindaHa ha ha mkuu nilidhani we simba daima sasa mbona unawaumiza moyo?
Nafikiri ningekuwepo uwanjani ningeungana nao hata kumtemea mate usoni....wamesajili watu wa hovyo sana msimu huu.Mkuu hukuungana na wale jamaa Die Hard Simba SC Fans waliotaka kumchapa makofi Hasn Poppe ile Jana!!!!!!
Hizo timu zetu ndugu zimekufa kibudu kisa viongozi wasio Na uchungu Na soka. Katavi rangers ilikuwa balaa enzi zake.Pole ila jina lako linanikumbusha Katavi rangers na ujenzi rukwa ya akina David ilunda
Sawa bwana...!!!Faraja yangu ni kuwa mnadhihirisha kuwa nyie wa matopeni
OMBI LA SIMBA KWA TFF
Sisi kama simba hatujapenda hiki kitendo cha Toto Africa kuvaa jezi kama za Yanga(Kijani) kiukweli zinatuharibu kisaikolojia... Kwanini Wavae jezi za kijani na sio zambalau au nyeupe na wanajua si tunaogopa kijani..
Haji Manara