Simba vs TP Mazembe, ila nna hofu Leo jamaa wanaondoka na Konde Boy!

Simba vs TP Mazembe, ila nna hofu Leo jamaa wanaondoka na Konde Boy!

Nasikitika kusema kuwa huwenda tusione mtanange huu kwa kuwa huku niliko Toka monire hakuna fire
 
Watachanganyikiwa Simba ya sasa ina wachezaji wengi wazuri labda watamchukua Ajibu

 
Ratiba inadai saa kumi
JamiiForums663893955.jpg
 
hili bonanza kumbe bado halijaisha

kwamba leo nyau anachukua m15 kama alivyo fanya yanga mapinduzi cup hahahaha
 
Punguza kuwashwa wewe Churra. Tuletee Kalenda zako za Uzazi wa Mpango tuwanunulie Wifi zako. Punguza kushupuza Mishipa ya Shingo Wanaume wakiwa wanapambana Uwanjani.
kuna mwanaume uwanjani zaidi ya TUISILA KISINDA muulize babu onyango atakwambia
 
kuna mwanaume uwanjani zaidi ya TUISILA KISINDA muulize babu onyango atakwambia
Tuisila Kisinda siyo Mchezaji wewe yule ni Mwanariadha tu akija Simba atakaa benchi kama Ilivyo kwa Gadiel, Ajib, Morrison, Niyonzima na Kakolanya ambao walikuwa kwenye 11 bora wa Utopolo lkn Msimbazi wakasugua mbao tu!
 
Back
Top Bottom